Mr Nay ft Alikiba - Fire Baby
Mr Nay ft Alikiba Fire Baby (Official Music Video)
SKIZA Dial *811*1180#
Baada ya kufanya muziki kwa miaka zaidi ya 15 na
kufanikiwa kupata mafanikio makubwa sasa ni
wakati rasmi wa kurudisha kwa jamii kwa kusaidia
kukuza sanaa kwa kutambulisha na kuvipa support
vipaji vipya kwa industry. Nawatambulisha kwenu
vijana wangu Cheed, Killy, K2ga na Abdukiba kutoka
record label yangu - King’s Music.
#KingsMusic
After a successful journey in my music industry, it
is time to give back and nurture upcoming talent.
I
am thrilled to introduce to the young and talented
musicians Cheed, Killy, K2ga na Abdukiba from my
record label King’s Music.
0 comments:
Post a Comment