Search for Mixtapes by Tittle

Translate

AUDIO | Alvindo - Taka taka | Mp3 Download

Alvindo - Taka taka.

Alvindo - Taka taka mp3 Download
TO PUT TAKA TAKA AS YOUR SKIZA TUNE SMS - SKIZA 7630280 TO 811 FOR VERSE 1 SMS - SKIZA 7630281 TO 811 FOR CHORUS SMS - SKIZA 7630282 TO 811
LYRICS
Unakataa kua dem Yangu Naenda kwa Mrogi nakuroga unakufa na nakujaa kwa mazishi yako kukula na Kukunywa na kukula nikucheke ukizikwa Unaringaga unaringa nini na sura mbaya ata kuliko mbuzi roho chafu kama ya shetani unadhaniaga ww ni nani. Takata taka taka mapepo zinakufwata sijui ata ni nini niliona kwako ata ningejua ningekatia dadako
Ulinikataa juu ulijua ntakukataa na kama hungenikataa mi ningekukataa nilingoja tu we ndo unikatae 1st cos am a gentleman and ladies go 1st. But let me tell u something young woman apana wekea wanaume roho ya chuma ukikatiwa joh kubali kukatika ama ukizeeka ndo maringo itaisha bure kabisa na ukwende kabisa na utume beshte yako akujie izo nguo ulibakisha*2
Kukupenda ndio mi huregretingi tu sana hata natamaningi hatungewai patana unaishi maisha fake na umejaa tu madrama ata nashukungu uliwachiangwa laana mara ati leo unaitwa natasha kesho umechange jina unaitwa soni mara uko single kesho ukona bwana mara unaishi ronga mara unaishi doni
I even suspected ur a criminal na kama we ndo dem acha nikae hivo staki ata mwingine acha nikufe single umeniacha na chronic bachelor syndrome

SONG WRITTEN AND PERFORMED BY ALVIN (ALVINDO) A PROPERTY OF FASTCASH MUSIC GROUP PRODUCED BY MAGIX ENGA EXECUTIVE PRODUCER - KRG THE DON

0 comments:

Post a Comment