Umeniteka akili zangu
ntafanya Nini kingine
Kama sii kukuwaza daily
niitazamapo picha yako
mate lazima niyameze
kwa kweli umeumbika.
Kama wewe sijamwona
nakuhitaji Tena nakumezea
najua una Roho ya utu na utanitetea.
Kila napojipata mashakani
nkitazama picha yako mashaka yanapotea
hata homa inaponishika
niitazamapo ii picha napona
ungenifanya nimepoteza fikira zote
maana akili iko busy kukuwaza tu wewe
jinzi gani ntakunykua
nijishindie Roho yako mum
staki tumia waganga maana naamini Mungu wangu
nashangaa kuwa nmekuset
kuwa screen yangu
nkiambia natazama wewe kwanza
Kabla nilale pia
hata siamini.
....
***
WARAKA HUU KWA MWENYE PICHA
ILE
get me on 0710952282 call/whatsapp
0 comments:
Post a Comment